Wapendwa JF. simu yangu Tecno P3 imeji-lock. Inanitaka niingize e-mail address yangu. nimejaribu mara kadha kuifungua imekataa.
Imejiweka kwenye flight mode. Kabla haijajifunga, nilikuwa naifungua kwa patterns. Kuna mtoto wangu alikuwa anataka kuifungua kwa kutumia patterns akakosea mara nyingi hatimaye ikajifunga.
Naomba msaada, nitaifunguaje?
Irestore tu mkubwa
fanya restore factory
Inaleta menu???
original code ya tecno p3 ni ipi ndugu