tecno m3 ,how to use it

Chele2

Senior Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
102
Reaction score
5
Wadau ,nam nmeingia kwny android tajwa. tatzo n kuwa sijui kutumia apps nying,MF.nltaka kutumia Instagram, ,sim ikaniambia niende play store nikai-update ila nikitaka kuingia play store sim inaload kwa mud a mrefu then inasema time out! naomba msaada watalaam Ili nami nifurahie smartphone
 

Mkuu hizi android huwezi kutumia hadi uingie kwa acount ya gmail. Bila hivyo hutaweza kudownload. Mia
 
Kama mzee wa mia bab figganigga alivosema hapo juu, lazima kwanza uwe umejiunga na account ya gmail kuweza kudownload hizo applications ulizozitaja katika Google Play.
Pia hakikisha simu yako ina internet connection. Sasa swali je, umeshajua kuconnect?

Kama tayari, nenda Google Play au unaweza kuta imeandikwa Market, kisha ingia. Utaona wamekuambia Login with Gmail. Kama account ya Gmail unayo, ingiza hapo, email and password. But kama huna, chini yake utaona Create Account, fungua hapo kisha jaza jza hizo form upate account yako ya Gmail. Dakika 10 tu umemaliza.
Ikifunguka (Hiyo Google Play Store), upande wa kulia juu kuna alama ya search (kama lensi ya kuchungulia), hapo ukiclick utaandika application yoyote utakayohitaji kama Fb, Whatsapp, Viber, JamiiForum etc.
Ikija download then itajifanya vingine automatic.

Kama kuna internet na umesema inasema TimeOut. Na wasiwasi na speed ya internet mahala ulipo. Jaribu kutafuta sehemu yenye 3G/HSDPA.

Karibu Android kaka.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…