Ziroseventytwo Platinum Member Joined Mar 27, 2011 Posts 9,398 Reaction score 17,793 Jan 28, 2016 #1 Msaada tecno h6 imegoma kufungua kamera. Inaniandikia "can't connect to the camera" iko na full storage. Ni shida
Msaada tecno h6 imegoma kufungua kamera. Inaniandikia "can't connect to the camera" iko na full storage. Ni shida
PetterIsuti Senior Member Joined Nov 29, 2014 Posts 118 Reaction score 28 Feb 4, 2016 #2 Hilo ni tatizo dogo san hata mimi yangu ilikuwa hivyo hvyo, camera yake itakuwa imecheza cha kufanya ni kuifungua na kuirudisha kama huna uwa kuifungua peleka kwa fundi akufungulie na ailekebishe
Hilo ni tatizo dogo san hata mimi yangu ilikuwa hivyo hvyo, camera yake itakuwa imecheza cha kufanya ni kuifungua na kuirudisha kama huna uwa kuifungua peleka kwa fundi akufungulie na ailekebishe
MGOGO27 JF-Expert Member Joined Jan 5, 2016 Posts 459 Reaction score 219 Feb 4, 2016 #3 Tupa nunua mpya si michina ndo ilivyo au nunua og