inavigezo vizuri ila jina. Tecno ata ikiwa na ubora kiasi gani huwa naidharau sijui nini tatizo natamani kutumia sana ila jina lake wangeondoa ata iyoo tecno waiiite CX.mimi simu ubongo unaezijua ni Nokia/Samsung/iPhone/lenovo/Motorola/sony.
Huu ugonjwa sijui utaniisha lini.
Nipe tiba nikuungishe hiyoo simu.