Hapana isipokua nimemaanisha ya kua unaiuza Camon 11 pro kwa bei kubwa wakati successor wake ambaye ni Camon 12 na 12 Pro bei ni chini mno ya bei unayouza hii Camon 11 Pro. Almost Laki nzima.Kama unataka kununua inbox ipoo. Bei tajwaa ni mwanzo tu
Mwanzo uliandika unaiuza camon 11 pro yakokwa 450,000 baada ya komenti yangu umeandika 400,000 ila nataka ujue kua bado kwa hiyo bei umeizidi Camon12 na 12 Pro.Kwani camon 12 pro bei gani mkuu.
Tafutaaa beii ya camon 12 pro nileetee hapa.Mwanzo uliandika unaiuza camon 11 pro yakokwa 450,000 baada ya komenti yangu umeandika 400,000 ila nataka ujue kua bado kwa hiyo bei umeizidi Camon12 na 12 Pro.
Phantom 9 yenyewe sio bei rahisi.Mwanzo uliandika unaiuza camon 11 pro yakokwa 450,000 baada ya komenti yangu umeandika 400,000 ila nataka ujue kua bado kwa hiyo bei umeizidi Camon12 na 12 Pro.
Yaani kama ulinunua kwa pesa hiyo ni kipindi zinatoka. Wazia kwamba baada ya zenyewe imetoka Samsung A 10 ambayo ikauzwa kwa pesa haizidi laki 3, Samsung J4+ kwa 350K.Tafutaaa beii ya camon 12 pro nileetee hapa.
Na nenda kaangalieee 11 pro lete hapa.
Bei nilio toa dukani iko hapo kwenye risitiii
Ukipata camon 12 pro kwa bei ya chini niambie au nielekezeee nika nunuee.
Hope najua utakuwa huijuu hizi camon 11 pro vizuriii
Phantom 9 yenyewe sio bei rahisi.
Hii sio zile W3 mkuu kabla ya 12 pro jua 11 pro ndo alikuwa baba wa tecno zoteee
Bob kushindana na mimi kuhusu bei za simu au uwezo ni unapoteza muda wako. Ukiona nimekwambia kitu kuhusu simu kichukue kama kilivyo usibishe.Labda nikuulize wewe bei sahihi unajua ni tsh ngapii???
Nataka dukani niende mwenyewe we nipe locationBob kushindana na mimi kuhusu bei za simu au uwezo ni unapoteza muda wako. Ukiona nimekwambia kitu kuhusu simu kichukue kama kilivyo usibishe.
Ili tumalize utata wewe lete hela nikukabidhi 12 Pro yako.
Mkuu umepigwaTafutaaa beii ya camon 12 pro nileetee hapa.
Na nenda kaangalieee 11 pro lete hapa.
Bei nilio toa dukani iko hapo kwenye risitiii
Ukipata camon 12 pro kwa bei ya chini niambie au nielekezeee nika nunuee.
Hope najua utakuwa huijuu hizi camon 11 pro vizuriii
Nataka dukani niende mwenyewe we nipe location
Nenda Kariakoo. Fika Msimbazi Round about upande huu wa maduka ya simu ulizia kwa Kiropo. Utafikishwa dukani kwake.Wapi hapo nikajichukulie 12 pro.