Techno pc suite..!!

sijui nini

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Posts
2,553
Reaction score
1,293
waungwana kama kuna mtu anafahamu pc suite ya hizi simu au alternative ya ku connect internet kwenye pc kwa kutumia hizi simu anisaidie..natumia Techno DH51.Thanks.
 
ha ha ha sahau!!!! Tecno labda kwa bluetooth ila lazima uwe mtundu kidogo na lazima hio laptop yako iwe na bluetooth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…