Techno Canon cx

Despacito

Member
Joined
Sep 18, 2017
Posts
77
Reaction score
164
Guys nilifanya factory reset ya cm yang camon cx lakini baada ya apo instagram, YouTube na watsap zmeacha kutoa saut japokuwa ukiweka earphone saut inasikika na calls za kawaida pia saut inasikia, mwenye utaalamu wake apa anisaidie nifanyaje
 
Nenda Settings==sound== alaf adjust hiyi media volume. Baada ya hapo rudi tena kama bado tatizo lipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…