Umeitwa intavyuu kwa nafasi ipi?Mishahara haiulizwi kwenye social media kama hivi dogo...jithaminishe waambie bei yako.By the way ni wahindi hao so usitegemee makubwa.
mkuu mbona watu walishaitwa tayali kwenye interview tayali,tena walifanya mitihani kwa njia ya online unajibu maswali na jana jioni walipigiwa watu tena kwa ajili ya kuja jumatano kufanya interview ya practical na face to face interview... mishahara yao inategemea na kiwango cha nafasi kazi...na elimu yako ila kima cha chini ni laki sita tuu...