Natafuta civil technicians wawili fresh from school who are
very time keeping ambao wamemaliza DIT, Mbeya na kwingineko kwa ajili ya kuwapa mafunzo ya site supervision then later on, l will employ them katika kampuni ya SONGOJO LIMITED (Building class 5 and Civil work class 6).
Kampuni ni changa so wazalendo wanahitajika ili tuweze kuipush ifikie Malengo.
Vigezo
- Ajue kutumia computer na program za 3D drawings
- Able to work under pressure.
- Awe na uwezo wa kufanya kazi day and night ikitokea kuna kazi.
- Awe na referee kutoka kwa Eng.yeyote au lecturer kutoka chuo husika.
Kwa wahitaji watume CV zao kwenye email ya kampuni:
songojo.limited@gmail.com
NB:Watu wenye speed ya kufanya kazi na maamuzi wanahitajika.
Mwisho wa kupokea maombi ni kesho ijumaa tr.05/03/2021 mchana saa 7:00
Imetolewa na
PEng.Kenedy Kilawa
Technical Director
Songojo limited
04.03.2021