M mjuniour Senior Member Joined Sep 22, 2015 Posts 130 Reaction score 37 Oct 7, 2016 #1 nilikuwa naomba ufafanuzi kidogo wa majukumu ya awo watu tajwa hapo juu ukiachilia mbali tofauti yao kwa kiwango cha elimu itakuwa vyema nikipata maelezo ya tofauti yao hasa kwenye civil engineering
nilikuwa naomba ufafanuzi kidogo wa majukumu ya awo watu tajwa hapo juu ukiachilia mbali tofauti yao kwa kiwango cha elimu itakuwa vyema nikipata maelezo ya tofauti yao hasa kwenye civil engineering
babumapunda JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 4,644 Reaction score 3,328 Oct 7, 2016 #2 Mmoja fundi mmoja boss. Elimu mmoja nta level 6 mwingine nta level 8
Baraka sheni JF-Expert Member Joined Jan 5, 2015 Posts 473 Reaction score 198 Oct 7, 2016 #3 hv hawa wa veta je ni matechnician au?