Katika pita pita zangu kwenye viunga vya mitandao ya kijamii Twitter, JF, Instagram n.k. kuna namna kifo cha Mzee wetu Khamenei kimewachanganya akili vibaya mno, hasa wale wenzangu wa imani. Mihemko, hisia kali, na wengine wanatoa maoni na kuandika mambo ya kuchekesha na kusikitisha. Kifo hiki cha Khamenei kimewagawa Waafrika kuliko hata Wairan wenyewe; inashangaza.
Mimi niseme: aliyekuzidi kakuzidi, ukifurukuta kwa mihemko bila akili tu utachapika. Hapa ni kurudi kwenye drawing table na kujipanga upya, hamna namna. Akili zitumike, tuondoe hasira.
Tears everywhere.
Fanya tour kwenye social media utakutana na wananchi wenye hisia kaliFafanua imewagawaje waafrika?
Kuna namna Waafrika wana utahira fulani.Sema nashangaa kwanini waislamu wanaomboleza sana kifo chake wakati wairan walimchukia.
Wairani walimchukulia kama mtawala wao lakini waislamu washia walimuona kama kiongozi wao mkuu no 2.Sema nashangaa kwanini waislamu wanaomboleza sana kifo chake wakati wairan walimchukia.
Jamhuri yake ya kiislamu imeua sana watu. Ilishaonekana kwamba zaidi ya 70% ya wairan walitaka atoke na waliridhia msaada kutoka nje.Wairani walimchukulia kama mtawala wao lakini waislamu washia walimuona kama kiongozi wao mkuu no 2.