VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Imarisheni ukawa ya ccm hamuyawezi tena,atakaeonekana ni msaliti atakatwa mara mojaShiiiiiiiiiiiiiiiii! Shiiiiiiiiiiiiiiiiiii! kimya kimya! Tulia usigeuke mbele wala nyuma!
Tuache! Endelea kufuatilia mchezo! Hadi sasa Magu anatafuta mpira kwa tochi!
Hii ni champions league! Magu hawezi ligi kubwa hizi!
Hao Team Lowassa ndani ya CCM ni wa kuwakwepa kama ukoma endapo Magufuli anataka ufanisi katika serikali yake.
Naamini wapo watu makini na waadilifu ambao si team Lowassa. Ikibidi ateue wabunge na kuwaingiza baraza la mawaziri. Muhimu iwe kuwatukia watanzania.
Kwa kura za uspika za jana nadhani ukiwa nje ya ccm si mwenzao tena linapokuja suala la maslahi ya chama. Ole Medee asingepata kura hizo kama kweli Lowasa bado ana ushawishi kwa wabunge wa ccm.
Kwa mawazo yako we unafikiri hawajulikani?Ndani ya CCM, kuna Wabunge wanaomuunga mkono aliyekuwa mgombea wa Urais wa CHADEMA/UKAWA, Ndugu Edward Lowassa. Wapo waliojipambanua mwanzoni na mwishoni 'ku-act' kama wamemuacha mkono na kujiunga na aliyekuwa mgombea wa CCM, Rais Magufuli. Hapa waweza kutajwa akina Peter Serukamba, Hussein Bashe na Kangi Lugola.
Pia, wapo wale Wabunge ambao hawakuwahi kujipambanua hadharani kuwa wanamuunga mkono Lowassa. Lakini, kuanzia wakati ule hadi sasa, wao ni wafuasi wa kutupa wa Lowassa. Baada ya kupendekezwa na kuidhinishwa kwa Waziri Mkuu, Rais akishauriana na Waziri Mkuu atateua Baraza la Mawaziri.
Wale team Lowassa watakwepwaje? Wakiingia Serikalini kama Mawaziri au Manaibu Mawaziri watatenda bila kikwazo? Najiuliza tu
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Umemaliza. Ujumbe tosha kwa wapumbavu wote.Kwa kura za uspika za jana nadhani ukiwa nje ya ccm si mwenzao tena linapokuja suala la maslahi ya chama. Ole Medee asingepata kura hizo kama kweli Lowasa bado ana ushawishi kwa wabunge wa ccm.
Tumeshawakata tulieni acheni kujibaraguza!!
CCM ni taasisi sio mtu...