mkuu hujaona hongera yangu pale juu?.au unataka niandike article nzima yenye neno hongera?.
Guys we are number two in whole of Africa.... wapi shangwe, afu vipi majirani Bongo hamna hata medali moja wakati Uganda pia wanazo tano sasa. jameni hili giant limelala kweli, ila tunaambiwa limeamuka kadoda11 Geza Ulole Bulldog
:embarrassed::embarrassed::embarrassed:Sio siri manyang'au mnajitahidi sana, wa TZ tunajijua na blah blah zetu, hongereni...
Nimeipokea hongera yako kamanda, ila namshauri mwenzio Bulldog hata naye awache jeuri na atoe hongera halafu apite kimya. He has to learn how to choose his battles, hili la Glasgow hana pumzi, Wabongo wamechemsha kupitilizia, kama taifa mketi na kuwaza upya.
Haya basi umeshinda maana Nigeria wametushinda, kufikia sasa mabingwa wetu wanazo medali 25. Tupo namba tatu Afrika halafu namba tisa dunia, yaani top ten in the whole world, chezea Mkenya utachoka. Bora utupee hongera na kubaki kimya kama mwenzio kadoda11
Nipe mimi na nchi yangu hongera kwa kuwaboresha wanamichezo wetu. Kwa jinsi moja au nyingine ninahusika, aidha kwa ulipaji kodi inayohusika kuboresha nyanja yenyewe au kwa ushabiki unaowapa morale. Mswazi kama wewe huwezi elewa chochote, nitakuacha tu. This is too complex for you.Nikupe hongera kwa lipi la maana?? Wewe una medali??
Haya basi umeshinda maana Nigeria wametushinda, kufikia sasa mabingwa wetu wanazo medali 25. Tupo namba tatu Afrika halafu namba tisa dunia, yaani top ten in the whole world, chezea Mkenya utachoka. Bora utupee hongera na kubaki kimya kama mwenzio kadoda11
Hilo nalo swali.hivi jumuia ya madola nchi zote duniani zinashiriki?
hivi jumuia ya madola nchi zote duniani zinashiriki?
:embarrassed::embarrassed::embarrassed:Sio siri manyang'au mnajitahidi sana, wa TZ tunajijua na blah blah zetu, hongereni...
Guys we are number two in whole of Africa.... wapi shangwe, afu vipi majirani Bongo hamna hata medali moja wakati Uganda pia wanazo tano sasa. jameni hili giant limelala kweli, ila tunaambiwa limeamuka kadoda11 Geza Ulole Bulldog
Hatunga shida na hizo ma medals, juu ya vile hiyo Gold inatokaga hukuhuku....hahahahaha joking bana..hongereni ndugu zetu sisi huku tusha give up on sports..blahblah miingiii
Sisi manyang'au hatujaanza kujitahidi leo, dunia hii huwezi shinda chochote bila unyang'au wa kiaina. Mambo ya ustaraabu yaachie kizazi cha miaka ya sabini na sitini, huu ni ulimwengu mpya, kila mtu yuko kimaslahi na mbioni. Hadithi za alfa ulela vijiweni uswazi hazisaidii tena.
Yaani huwa napenda sana jinsi Wabongo wanatuona manyang'au, tukiingia Bongo huwa hamna cha kupumua, tunapiga miradi kwa bidii ya mchwa au sisimizi.