Teaching job seeker: Mathematics + Physics, I teach all level (ordinary +advance)

Mh!!!haya bana..kila la heri
 
kufaulu kwenye cheti na kufundisha ni vitu viwili tofauti,wengi wanafanya udanganyifu na kupata grade nzuri l,husitangaze izo grade ili uonekane mwl mzuri ,watu tunafahamu kufundusha ni arts na sio hayo ma grade yako
 
Naona povu linakutoka bila sababu ...pole sana haya yote n sababu ya ccm ,kawatupilia mbali arts
 
Kweli nimeamini we ni mathematics teacher
 
kufaulu kwenye cheti na kufundisha ni vitu viwili tofauti,wengi wanafanya udanganyifu na kupata grade nzuri l,husitangaze izo grade ili uonekane mwl mzuri ,watu tunafahamu kufundusha ni arts na sio hayo ma grade yako
Acha ujinga wewe huwezi pata A O-level na Advance kwenye Mathematics afu ukawa kilaza.Kwa kifupi mimi huyu jamaa hayo kama ndo matokeo yake nimemkubali anavitu vingi kichwani japo kweli kufundisha ni uwezo wa mtu mwenyewe aeleweke ila kifundisha kwa muda kidogo au kama alikuwa anafundisha hapo zamani lazima atakuwa vizuri.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…