V victorlukumba Member Joined Aug 22, 2019 Posts 6 Reaction score 1 Sep 7, 2019 #1 Vyuo vikuu vya selikali mbna kimya katika kutoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa round 2!!
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,731 Reaction score 6,626 Sep 8, 2019 #2 Hivyo vya private wameshatoa?
kimsboy JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 11,165 Reaction score 24,544 Sep 8, 2019 #3 victorlukumba said: Vyuo vikuu vya selikali mbna kimya katika kutoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa round 2!! Click to expand... Usiteseke mkuu....ingia tu kwenye tovuti ya tcu kuna majina ya wanafunz walioaply toka round ya kwanza na hii ya pili kwa nchi nzima majina yametoka leo ila kwa vyuo naona kimya
victorlukumba said: Vyuo vikuu vya selikali mbna kimya katika kutoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa round 2!! Click to expand... Usiteseke mkuu....ingia tu kwenye tovuti ya tcu kuna majina ya wanafunz walioaply toka round ya kwanza na hii ya pili kwa nchi nzima majina yametoka leo ila kwa vyuo naona kimya
mzalendo.com JF-Expert Member Joined Aug 2, 2015 Posts 427 Reaction score 303 Sep 8, 2019 #4 Udom wameshatoa
Kaambali Member Joined Sep 7, 2019 Posts 23 Reaction score 16 Sep 8, 2019 #5 mzalendo.com said: Udom wameshatoa Click to expand... Mkuu kama una pdf ya udom,tuwekee hapa
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,285 Reaction score 193,268 Sep 8, 2019 #6 Kua mvumilivu... Cc: mahondaw