Politics is politics and accountability is accountability....in Bongo...there is no accountability without politics and politics depends entirely on political guys who positioned them in the post!!!
Ingekuwa mm ndie Executive Secretary wa TCU hadi kufikia saa sita mchana huu nimeshindwa kutoa selections kama nilivyoahidi kwa umma wa Tanzania........ NINGEJIVUA GAMBA!!!!!!
Ama kweli mbuzi wa maskini hazai na akizaa dume shoga!!! Kwani tarehe 4 si ndo leo? Haya sasa kinachowaumbua bado ile taarifa yao ipo,aibuu kweli kweli

<br />
<br />
kumind lazima vanpopeye inawezekana kila siku tudanganywe?kwani tcu kunani au computer zote mbovu?Si waseme ukweli km kazi imewashinda,inasikitisha sana.