N namtumbo Member Joined Aug 30, 2011 Posts 78 Reaction score 102 Jul 25, 2016 #1 Tume ya Vyuo Vikuu nchini imetoa Taarifa kwa Umma kukanusha uvumi ulioenezwa kwa njia ya mtandao juzi na jana kwamba Tume hiyo imezuia Vyuo 22 kufanya Udaili wa Wanafunzi katika mwaka wa masomo 2016/2017. Kwa habari zaidi angalia hapo chini:
Tume ya Vyuo Vikuu nchini imetoa Taarifa kwa Umma kukanusha uvumi ulioenezwa kwa njia ya mtandao juzi na jana kwamba Tume hiyo imezuia Vyuo 22 kufanya Udaili wa Wanafunzi katika mwaka wa masomo 2016/2017. Kwa habari zaidi angalia hapo chini:
Mdudu halisi JF-Expert Member Joined May 7, 2014 Posts 2,730 Reaction score 4,769 Jul 25, 2016 #2 Hii Tume ya Vyuo Vikuu sasa imekuwa ni kama sehemu ya kufanyia siasa. Kila siku wana-make headlines kweye magazeti.
Hii Tume ya Vyuo Vikuu sasa imekuwa ni kama sehemu ya kufanyia siasa. Kila siku wana-make headlines kweye magazeti.
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,573 Jul 25, 2016 #3 Mdudu halisi said: Hii Tume ya Vyuo Vikuu sasa imekuwa ni kama sehemu ya kufanyia siasa. Kila siku wana-make headlines kweye magazeti. Click to expand... Sasa ulitaka wanyamaze mnapo potosha?
Mdudu halisi said: Hii Tume ya Vyuo Vikuu sasa imekuwa ni kama sehemu ya kufanyia siasa. Kila siku wana-make headlines kweye magazeti. Click to expand... Sasa ulitaka wanyamaze mnapo potosha?
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Jul 25, 2016 #5 Habari inazagaa tangu juzi inakanushwa leo?
K kidabibiaga JF-Expert Member Joined Apr 4, 2016 Posts 619 Reaction score 161 Jul 25, 2016 #6 mikatabafeki said: Habari inazagaa tangu juzi inakanushwa leo? Click to expand... Jumamosi? Wengine hawafanyi kazi jumamosi,
mikatabafeki said: Habari inazagaa tangu juzi inakanushwa leo? Click to expand... Jumamosi? Wengine hawafanyi kazi jumamosi,
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Jul 25, 2016 #7 kidabibiaga said: Jumamosi? Wengine hawafanyi kazi jumamosi, Click to expand... unaongea nni wwe? Suala kama hilo ati hatufanyi kazi jmosi? Jipime aiseeh...
kidabibiaga said: Jumamosi? Wengine hawafanyi kazi jumamosi, Click to expand... unaongea nni wwe? Suala kama hilo ati hatufanyi kazi jmosi? Jipime aiseeh...
Obuma JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 2,727 Reaction score 5,096 Jul 25, 2016 #8 Mbona naona kama alieandaa lile tangazo ndio anatakiwa kuwa Mtendaji wa TCU!!
K kidabibiaga JF-Expert Member Joined Apr 4, 2016 Posts 619 Reaction score 161 Jul 27, 2016 #9 mikatabafeki said: unaongea nni wwe? Suala kama hilo ati hatufanyi kazi jmosi? Jipime aiseeh... Click to expand... Niletee measuring tape, unadhani mtu tu anaamua kuita press na kukanusha without office kujua? Unadhani mambo yanafanywa kiholela tu?
mikatabafeki said: unaongea nni wwe? Suala kama hilo ati hatufanyi kazi jmosi? Jipime aiseeh... Click to expand... Niletee measuring tape, unadhani mtu tu anaamua kuita press na kukanusha without office kujua? Unadhani mambo yanafanywa kiholela tu?
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,771 Reaction score 4,656 Jul 27, 2016 #10 kidabibiaga said: Niletee measuring tape, unadhani mtu tu anaamua kuita press na kukanusha without office kujua? Unadhani mambo yanafanywa kiholela tu? Click to expand... Kama hufahamu shughuli za dharula za kiofisi piga kimya
kidabibiaga said: Niletee measuring tape, unadhani mtu tu anaamua kuita press na kukanusha without office kujua? Unadhani mambo yanafanywa kiholela tu? Click to expand... Kama hufahamu shughuli za dharula za kiofisi piga kimya
K kidabibiaga JF-Expert Member Joined Apr 4, 2016 Posts 619 Reaction score 161 Jul 27, 2016 #11 mikatabafeki said: Kama hufahamu shughuli za dharula za kiofisi piga kimya Click to expand... Kukanusha uongo ni dharura? (Sio dharula), kajifunze jinsi ofisi zinavyofanya kazi
mikatabafeki said: Kama hufahamu shughuli za dharula za kiofisi piga kimya Click to expand... Kukanusha uongo ni dharura? (Sio dharula), kajifunze jinsi ofisi zinavyofanya kazi
S shedcomb Member Joined Nov 30, 2015 Posts 59 Reaction score 17 Jul 27, 2016 #12 Obuma said: Mbona naona kama alieandaa lile tangazo ndio anatakiwa kuwa Mtendaji wa TCU!! Click to expand... Kwa maana hiyo kazi ya kupotosha ni kazi ya mtendaji mkuu ? Mbona hueleweki mkuu
Obuma said: Mbona naona kama alieandaa lile tangazo ndio anatakiwa kuwa Mtendaji wa TCU!! Click to expand... Kwa maana hiyo kazi ya kupotosha ni kazi ya mtendaji mkuu ? Mbona hueleweki mkuu
Obuma JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 2,727 Reaction score 5,096 Jul 27, 2016 #13 shedcomb said: Kwa maana hiyo kazi ya kupotosha ni kazi ya mtendaji mkuu ? Mbona hueleweki mkuu Click to expand... Mkuu namanisha tangazo liliandaliwa kiufundi na likasadifu maudhui yote ya TCU
shedcomb said: Kwa maana hiyo kazi ya kupotosha ni kazi ya mtendaji mkuu ? Mbona hueleweki mkuu Click to expand... Mkuu namanisha tangazo liliandaliwa kiufundi na likasadifu maudhui yote ya TCU