hv kwa waliochagua 2round ST.JOSEPH dar wote tayar? nsaidieni wakuu maana katka selections ya 2round nlchagua st.joseph lakn mpka now hawajanchagua ila naomba hvyo wacnchague il npate udsm klichobak katka machaguo yangu,,,,maana waliopata udsm 2round bado hawajaachia majna,,,,, xo nijulshen km st.jose wameshawachukua wote wa 2round il nijifariji