Jamani hv iz points wanaz converts sehemu gani?
mbna matokeo yapo vlevle ya 2014.
Au wametusamehe wa miaka ya nyuma.
ambaye matokeo yake yako tofauti yaani wameyabadrsha atujuze.
Maana jamaa alisoma PCB akapata CBB bam pia alipata B general study E lakini amna mabadrko yoyote.