Mi lini hii time ya vyuo vikuu itafutwa?Maana sio kwa usumbufu huu tunaopata katika kuomba vyuo vya elimu ya juu.mpaka sasa Luna maelfu ya wanafunzi hawajuo hatma yao katika masomo,wameshindwa kabisa kusimamia hebu Waziri mhusika mjue hilo.kuna kitu kinaitwa confirmation codes ambapo unatumiwa kama umechaguliwa chuo zaidi ya kimoja sasa vioja ni kwamba wanaotoa hizo codes ni hao tcu lakini mpaka sasa hawajatoa na deadline ni Leo na humu tangazo LA kuconfirm limetoka Jana sasa hii inakuwaje hebu Rais tusaidie sisi wanyonge