Daah mkuu hata mimi cielew kinachoendelea uko TCU Maan mambo yako complicated sanaNimekua nikifanya kazi katika cafe flani mjini nimekua nashangazwa sana na hi bodi ya commission of university ya nyumbani apa ambayo wengi pia hawaelewi ni nini iki kinafanyika na hio bodi cha
1- wanachaguaje wanafunzi vyuo zaidi ya kimoja wapatao wanafunzi 1024 uku wanafunzi zaidi ya 2000 wanakosa vyuo kabisa na waliomba?
2- kulingana na mwongozo wao wanao uita almanarq upo tafauti kabisa na jinsi wanavyo fanya mambo yao walisema tarehe 24-26 sep watakua wametoa majina ya wanafunzi walio omba sec selection but mpaka sasa wametoa tena walio chaguliwa na vyuo zaidi ya kimoja uku wengine watakosa tena naona kabisa sasa ivi ni wanafunzi 600 na zaidi wamepata vyuo zaidi ya kimoja embu angalieni awo walio bakia je watapata ?
3- ili ni nilitaka kujua kabisa je ivo vigezo vya wanafunzi wenye D ndo mnavyo angalia sana au kuna vingine kama vipo mviweke wazi zaidi watoti wasiangaike sana maana apa kila siku wanafunzi wanakuja nilalamika kama namimi nafanya kazi tcu
4- number mnazo weka ziwe na urahisi wakujibiwa ndani ya mda maana nyingi ampokei mnaziweka busy
5- na swali lingine ni ili je wale watakao kosa kabisa vyuo adi round hiyo ya 3 je watapaswa kufanyaje ?
-----mwenye uelewa kidogo anaweza saidia apa kusaidia taifa lakesho wenye kiu na hamu ya mafanikio kwa nyanja hii ya elimu ya juu walio fikia
unipe mrejesho kama uchangishaji huo una maslahi maana hata mimi naona giza application za mwaka huu mtihani na sijuw UDO NA MZUMBE wamepatwa na nini mpaka sasa hawajatoa majina!!profile yang ya udom haionyesh kama nmekubaliwa o not na nmeomba awamu zote 2.
hapa nko mtaan nachangsha pesa za rambirambi na pic ya babu aliyekufa kitambo ili npate mtaji.
maslah yapo ni kucheza na akili za watu tu kupiga hz rambirambi.unipe mrejesho kama uchangishaji huo una maslahi maana hata mimi naona giza application za mwaka huu mtihani na sijuw UDO NA MZUMBE wamepatwa na nini mpaka sasa hawajatoa majina!!
mkuu hatupishani hata mimi ni udom , ila mzumbe nilijaza kozi moja tu basi. yaani pasua kichwa.maslah yapo ni kucheza na akili za watu tu kupiga hz rambirambi.
yan me ht siwasomi kabisa hlf mbaya zaid me nmeomba udom tu.
nmechek profile yang ya udom muda huu wananiambia nijaribu application kwa mara ya 3mkuu hatupishani hata mimi ni udom , ila mzumbe nilijaza kozi moja tu basi. yaani pasua kichwa.
sielewi hiyo mifumo yao ya kuchagua mtu wa ufaulu mdogo anabakia wa ufaulu wa juu, na umejaza taarifa zote kwa usahihi hata ukireview jinsi ulivyojaza iko sahihi na wamekuandikia kabisa katika akaunt yako kuwa maombi yako yemepokelewa kikamilifu.Mwaka huu kuna atari ya wanafunzi wengi kukosa vyuo mjiandae kukaa mwaka mzima mkiwa mnatafutiwa solution
Mpaka watumbuliwesielewi hiyo mifumo yao ya kuchagua mtu wa ufaulu mdogo anabakia wa ufaulu wa juu, na umejaza taarifa zote kwa usahihi hata ukireview jinsi ulivyojaza iko sahihi na wamekuandikia kabisa katika akaunt yako kuwa maombi yako yemepokelewa kikamilifu.
akaunt yangu bado haina maelezo yoyote yale ya Udom zaidi tu yakuona application za nyumba, kwani mkuu majina wametangaza UDOM??nmechek profile yang ya udom muda huu wananiambia nijaribu application kwa mara ya 3
hata mi ipo ivo ila kuna watu wamejibiwa waende third round kweny profile zaoakaunt yangu bado haina maelezo yoyote yale ya Udom zaidi tu yakuona application za nyumba, kwani mkuu majina wametangaza UDOM??
ok, nimekupata labda wanafanyia kazi akaunt moja moja na je mbali na hao walioambiwa waombe raund ya 3 kuna ambaye umesikia yeye akaunt yake katumiwa kuwa amepata?? raundi ya 2hata mi ipo ivo ila kuna watu wamejibiwa waende third round kweny profile zao
nimewapigia udom kama dk kumi zilizopita wameniambia hawajatoa ila wako hatua za mwisho kutoa, na nilivyomuuliza sasa mtu akikosa wakati raund 3 imeshaisha itakuwaje kaniambia hilo liko nje ya uwezo wao labda TCU ndiyo watajuwa la kufanya.Write your reply...Nyie Achen Utan Bhana Acaunt Yang Ya Udom Mbona Bado Aisomi
bado sijampata alijibiwa kama kapataaok, nimekupata labda wanafanyia kazi akaunt moja moja na je mbali na hao walioambiwa waombe raund ya 3 kuna ambaye umesikia yeye akaunt yake katumiwa kuwa amepata?? raundi ya 2