Upuuuuz heshima gan sasa?
Yan watu badilishie mfumo wa elim wa kuingia chuo kikuu bado haitosh wakatukomesha.
ww unafurahia hil kwa Sabab upo chuon na E mbil na unachukua degree
Yan waliochaguliwa na ss wote wagonjwa, kwan ata awajaoneshwa sehem walizopelekwa.
Unaweza kuwa umechaguliwa na chuo kikakukataa vile vile