NAOMBA MSAADA WAKUU KWA ANAEJUWA
nimechaguliwa BED in Science Ila Sijaipenda Napenda Bachelor of Science with education nifanyeje wakuu? ni Reapply upya au
NAOMBA MSAADA WAKUU KWA ANAEJUWA
nimechaguliwa BED in Science Ila Sijaipenda Napenda Bachelor of Science with education nifanyeje wakuu? ni Reapply upya au
Kuna form ya kuhama programme huwa zipo chuo..baadhi ya vyuo sio issue sana,ni wewe tu kujaza hiyo fomu then chuo wanapeleka tcu kwa ajili ya kubadilisha taarifa zako
Mkuuu sorry nashindwa kutofautisha vyema Bachelor of Education in Science na Bachelor of Science with Education Tofauti kubwa hasa iko wap,wahitimu hao wawili watatofautiana nini baada ya kuhitimu. Nitashukuru kunielimisha kwa hili!
Bachelor of education in science badae huwezi kubadili kwenda medical school lakini bachelor of Science with education ukimaliza unaruhusiwa kufanya master in medical school kama pharmacy, medical laboratory n.k
Kuna form ya kuhama programme huwa zipo chuo..baadhi ya vyuo sio issue sana,ni wewe tu kujaza hiyo fomu then chuo wanapeleka tcu kwa ajili ya kubadilisha taarifa zako