TCRA tusaidieni hili

tomboya

Member
Joined
Jan 23, 2015
Posts
54
Reaction score
8
SMS za Simutv kwenye mtandao zinatumalizia charge, kwa siku utakuta unatumiwa zaidi ya SMS zaidi sita au nane, na ni kila siku!
 
SMS za Simutv kwenye mtandao zinatumalizia charge, kwa siku utakuta unatumiwa zaidi ya SMS zaidi sita au nane, na ni kila siku!
Wewe mwenyewe ndio uliyejiunga na huduma hiyo either kwa makusudi au kwa bahati mbaya. Kama hiyo huduma huihitaji iondoe. over.
 
Yote tisa, kumi lile tangazo kwenye kin'gamuzi cha star tv, kimkanda cha blue hivi kinatokea kushoto kwenda kulia.
Hakyamungu sikapendi ajabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…