Sahihisha hapo juu,hiyo simu umenunua duka la tigo siyo makao makuu ya tigo. Makao makuu ya tigo hayapo makumbusho na huduma za kuuza bidhaa za tigo hazifanyiki makao makuu.
Tigo hawatengenezi simu za mkononi,wao wanatoa huduma za mawasiliano. Bidhaa km simu nao wananunua,lkn kwa bahati hiyo simu uliyonunua ina warranty ya miezi 12. Km ni kweli unachosema irudishe pale dukani na utapewa simu nyingine. Lkn lingine huenda hujui kuangalia kwa kutumia mfumo wa tcra au pengine ulikosea IMEI number. Ahsante