Tcra na license za providers wa multiplex operators--

Macos

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2008
Posts
1,979
Reaction score
1,418
The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), in 2010 licensed three Multiplex Operators (MUX) namely; Star Media Tanzania Limited, Agape Associates Limited and Basic Transmissions Limited, for the provision of digital multiplexing, signal distribution and transmission services;
Jee ni vigezo gani walifikia kutoa lincense hizi kwa kampuni 3 tu ?
jee katika mazingira yapi walitoa licence kwa kampuni ya kidini ? yaani AGAPE ASSOCIATES?
AGAPE ASSOCIATES malengo yao makubwa ni kuwabatiza watu wote kuwa wakristo...na hata wale wakristo wengine wawe born again !!!
jee katika nchi ambayo ni misingi yake haifungamani na dini yoyote jee hii ni sawa?
jee mfano sisi Dar es salaam islamic club tukiomba MUX licence tutapewa ?
utaona hawa AGAPE walichofanya ni kuweka connection fees kubwa sana kwa channels nyengine kutumia network yao
wao wameweka USD 17,500 Wakati wengine wameweka kati ya USD 3000-4000
JEE hii si ni njama ili local TV zisiweze kurusha matangazo yake katika network yao ili zibaki TV zao na zile za nje

ukweli ni kuwa TCRA wamefanya kosa kubwa kutoa kibali kwa kampuni ambayo ina mlelekeo wa kidini .....waislam wakilalamika kuna udini nchi hii ndio mambo kama haya....
ufafanuzi unatakiwa kutoka TCRA na WIZARA husika
vingenevyo kusiwe na kikwazo kwa kampuni nyengine zinazomba MUX license.
hatuwezi kujenga umoja katika hali ya umimi na udini kama hivi
 

Macos---hujakosea TCRA wamefanya udini.....haiwezekani kutoa licence kwa ukiritimba na katika licence hizo 3 moja ni dini fulani..!!! jee wale wa dini nyengine ?
huu ni ni udini na hauna tija yoyote ila kuzidisha chuki baina ya wananchi wa dini tofauti
uamuzi huu hata kama ulifanywa kwa kutokusudia ni hatari na wa upendeleo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…