deezekiels Member Joined Mar 20, 2014 Posts 42 Reaction score 3 Jul 29, 2014 #1 Habari zenu jamani, niliomba nafasi 3 za Kazi tbs, zote nimeitwa na zote usaili ni tarehe 31/07/2014 saa 8:30 - 10:00, msaada wenu wadau kuhusu hii issue..
Habari zenu jamani, niliomba nafasi 3 za Kazi tbs, zote nimeitwa na zote usaili ni tarehe 31/07/2014 saa 8:30 - 10:00, msaada wenu wadau kuhusu hii issue..
Matendo Andrew JF-Expert Member Joined Apr 1, 2014 Posts 748 Reaction score 367 Jul 29, 2014 #2 Kapige zote kama zinatofautiana mda kumbuka kuanza na ile ambayo una wito nayo. ASANTE
deezekiels Member Joined Mar 20, 2014 Posts 42 Reaction score 3 Jul 29, 2014 Thread starter #3 Zote Ni siku na mda mmoja..
Matendo Andrew JF-Expert Member Joined Apr 1, 2014 Posts 748 Reaction score 367 Jul 29, 2014 #4 Wahi kufika uandae mazingira kwa kuomba feva ya kufanya zote au?
pomo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 267 Reaction score 33 Jul 29, 2014 #5 deezekiels said: Zote Ni siku na mda mmoja.. Click to expand... chagua ambayo haina upinzani sana, na angalia ambayo unauhakika wa kujibu maswali vizuri
deezekiels said: Zote Ni siku na mda mmoja.. Click to expand... chagua ambayo haina upinzani sana, na angalia ambayo unauhakika wa kujibu maswali vizuri
Saplaiz JF-Expert Member Joined Mar 26, 2014 Posts 283 Reaction score 287 Jul 29, 2014 #6 Dah mi nimeitwa lkn majukum niliyonayo sielewi hata nachomokaje
M mwala01 Member Joined Jul 13, 2014 Posts 53 Reaction score 3 Jul 29, 2014 #7 deezekiels said: Zote Ni siku na mda mmoja.. Click to expand... kwani wadau TBS wanahitajika watu wangapiii isijekua mambo y uhamiaji tenaaa
deezekiels said: Zote Ni siku na mda mmoja.. Click to expand... kwani wadau TBS wanahitajika watu wangapiii isijekua mambo y uhamiaji tenaaa