spectator boy
New Member
- Apr 22, 2021
- 3
- 7
Bado Mkuu, ni maandalizi tuKwan wameita
Unyama sana hii mkuu,Kuna jamaa angu ana deal na haya mambo yupo airport hapo ... Ntajaribu kumgusiaaa
Nilikuwa nimeshasahau ... Ntajitahidi kukumbukaUnyama sana hii mkuu,
Tafuta hints zinahusu ukaguzi wa bidhaa ya nyamaa ... Hapa wekeza muda wakoOya wazeee habari, ivi wataalamu wa interview za TBS embu tupeanile possible angles hasa kwenye kazi za
1. Food inspection officer
2. Quality assurance officer
3. Research officer
Amenipa hayo maelezo ila anaendelea kukumbuka maana alikuwa Yuko rush sana Leo.Nilikuwa nimeshasahau ... Ntajitahidi kukumbuka
Mkuu na CIVIL JETafuta hints zinahusu ukaguzi wa bidhaa ya nyamaa ... Hapa wekeza muda wako
Upitie HACCP hiyo kidogo steps, principal
Upitie mambo ya hygiene
Tafuta miongozo ya tbs ya inspection na handling za bidhaa hasa za nyama, maziwa . Hakikisha unapata huo muongozo pdf
Hii ni kwa Food inspection officer
Mkuu sijakuelewaMkuu na CIVIL JE
Mkuu ukipata zaidi naomba tusaidie washatuita kwenye usailiTafuta hints zinahusu ukaguzi wa bidhaa ya nyamaa ... Hapa wekeza muda wako
Upitie HACCP hiyo kidogo steps, principal
Upitie mambo ya hygiene
Tafuta miongozo ya tbs ya inspection na handling za bidhaa hasa za nyama, maziwa . Hakikisha unapata huo muongozo pdf
Hii ni kwa Food inspection officer
SawaMkuu ukipata zaidi naomba tusaidie washatuita kwenye usaili
PamojaaTafuta hints zinahusu ukaguzi wa bidhaa ya nyamaa ... Hapa wekeza muda wako
Upitie HACCP hiyo kidogo steps, principal
Upitie mambo ya hygiene
Tafuta miongozo ya tbs ya inspection na handling za bidhaa hasa za nyama, maziwa . Hakikisha unapata huo muongozo pdf
Hii ni kwa Food inspection officer
Hiv mkuu ,wamesema written interview itakuwa ya online ??Oya wazeee habari, ivi wataalamu wa interview za TBS embu tupeanile possible angles hasa kwenye kazi za
1. Food inspection officer
2. Quality assurance officer
3. Research officer
HaiwezekaniHiv mkuu ,wamesema written interview itakuwa ya online ??
Naamisha na watu wa civil engineer (quality assurances) interview tbs inakuajeMkuu sijakuelewa