TBC2, ni nini hiki?

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
8,311
Reaction score
12,202
Umofia!

Leo nilikuwa bored nikaamua search kwenye king'amuzi channel nadra kuziangalia si nikaweka TBC2 kwa kweli nilichokutana nacho ni cha ajabu sana!.

Imagine mpaka leo hii mwezi March tukielekea April eti bado wanarusha matangazo ya Christmass Wishes!. Hivi kweli Televisheni ya Taifa kurusha matangazo ambayo yalitakiwa kumalizika miezi miwili nyuma ni sahihi!?

Kama mmekosa mada si heri mtangaze tenda vyama vya siasa vilete vipindi vyao mrushe kuliko hiki mnachofanya kinachopelekea channel yenu ipoteze viewers, au kama vipi rusheni vipindi vilivyopita vya bunge ili tuliovikosa tuangalie mkishindwa ni heri muifunge tu hiyo TBC2 sababu toka nimeanza kuiangalia sioni la maana nyimbo zenyewe mnazopiga low quality kama mmedownload kwa 3gp format!

Sio mpaka Mh. Raisi aingilie kati kuja waboost, naamini mna watu wenye weledi wa kazi, acheni kufanya kazi kimazoea wakati ideas ni nyingi sana mtaani mtakazo weza zipeleka on air!

Mkishindwa sana nitafuteni hata mie niwashow gamechanger tactics!

#KodiYanguInaniuma!..
 
Kwanza ongera kwa moyo wa ujasiri mkuu kwa kuangalia Tibisii 2! Huo ni moyo wa kipekee kabisa mkuu kuamua kupoteza mda wako wkt kuna vitu kibao vya kufanya!
Kuangalia tibisisiem kwa wakt huu ni tukio nadra sana kuliona kwa vijana wa kibongo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una roho ngumu ya kulala na nyoka kwenye shuka moja kama unathubutu kuiangalia tbc

Sahivi ndo itakufa kabisa maana propaganda zote za chama na serikali zitahamia channel 10

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hatarii sana hi
 
Ni uzalendo uliotukuka kutizama TBC et Al, tupende vya kwetu.... tembea kifua mbele.

Usile Mbegu.
 
Kesho si jumapili??? Fanya unakosea kisha weka TBC2, unakuta nyimbo zao ni 'long time ago in Bethlehem'...!!πŸ˜€πŸ˜€
 
Acha tu na bado sijailalamikia VATICAN CHANNEL nayo kila muda wanaonyesha St. peters' basilica tu, ikizidi saaana unaona njiwa wanakatiza. Sasa nao najiuliza imekuwaje kupeleka hewani cctv camera.
 
Kesho si jumapili??? Fanya unakosea kisha weka TBC2, unakuta nyimbo zao ni 'long time ago in Bethlehem'...!!πŸ˜€πŸ˜€
hahahahah naanzaje subiri kesho wakati mchana leo nimeziona hizo!!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…