F Fraddle b JF-Expert Member Joined Nov 20, 2011 Posts 222 Reaction score 20 Jun 8, 2012 #1 Jamani,kuna tatizo lipo katika televisheni ya Taifa takribani wiki mbili,tatizo la kutoonyesha matangazo yao vizuri(kuonyesha chenga chenga flani) je,mafundi mitambo wao hawajaliona ili?
Jamani,kuna tatizo lipo katika televisheni ya Taifa takribani wiki mbili,tatizo la kutoonyesha matangazo yao vizuri(kuonyesha chenga chenga flani) je,mafundi mitambo wao hawajaliona ili?
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,932 Jun 8, 2012 #2 Aisee una roho ngumu....!