Jamani kilichomtoa Tido pale ni kuruhusu mijadala ya "Harakati majimboni" kipindi cha kampeni ambapo CCM walikua hawashiriki!! Baada ya Tido kuondoka TBC basi imekua ya CCM hamna la maana lolote wanafanya zaidi ya kurudia tu kama kuna mambo ya CCM ya zamani ndio maana hata nilivyoona leo jinsi mtangazaji alivyokua na mbwemwe sikushangaa kabisa halafu bahati mbaya tu leo imetokea nimeangalia taarifa ya TBC huwa siangalii tangu Tido aondoke..