EMMANUEL NSAMBI
JF-Expert Member
- Oct 25, 2011
- 402
- 83
Wana JF,
Mtakubaliana na mimi kwa kile TBC walichokuwa wanakifanya kule Arumeru wakati wa kampeni
za ubunge.Mara zote wamekuwa wakijaribu kuonyesha upande mmoja yaani CCm na wakati mwingine
hata kuchanganya picha kuwahadaa watazamaji.Baada ya matokeo kutangazwa wameonyesha wakimhoji mbunge
mteule Joshua Nassari,lakini sijawaona wakimhoji mgombea aliyeshindwa Sioi Sumari.Jana nilikuwa
pale leganga kushuhudia Nassari akiwashukuru wapiga kura na TBC walikuwa mstari wa mbele kuhahikisha
wanapata coverage nzuri.Kama si unafiki ni nini?
tbc kuna vipindi vingi vya maana si lazima watangaze kampeni
chochote wanachokifanya TBC kina work, Nassari alikuwa mtu wa kwanza kuwapa interview TBC sekunde kumi baada ya kutangazwa mshindi. Sasa hapo mwenye kimbelembele sijui ni yupi kati ya hawa wawili, TBC na Nassari. Yani viongozi wanachukulia mambo kijuu juuuu... Chombo ambacho umekilalamikia milele kwamba hakiko fair kwenu huwezi ukawakimbilia kuwapa interview.Wana JF,