Kweli inaniuma sana kwa TBC chombo ambacho kodi zangu zinaenda harafu sipati habari kama inavyotakiwa. Yaani utadhani Igunga kuna CCM peke yao mimi najua hata kama vyama vingine visipopiga kampeni ni habari pia kwa chombo cha habari. Mbona mnatutia hasira wananchi kwa kutumia kodi zetu kinyume na inavyotakiwa? mpaka wafanyakazi wanaonekana wakiwa inferior wakati wakitoa habari maana nao wanalazimishwa tu. Mnachochea ghasia na mtakuja kujibu haya mambo mwisho ukifika. Kwa wenye uwezo endeleeni kurecord whatever is happening maana najua kila mtu atakuja kuulizwa na kumalizia maisha yake jela. Hizi promosheni mnazopeana kindugu na kirafiki zitakuja kuwasababishia kumalizia maisha yenu vibaya.

TBC ni taasisi ya CCM ambayo hulipiwa kodi na wananchi wote wa Tanzania na wasiokuwa Watanzania. Kwahiyo, ni bora wajitangaze kuwa wao hawaonyeshi habari zisizowahusu wao isipokuwa tuu ni zile za waajiri wao CCM.....huwa napata sana shida kutazama hilo lichanel la kichama....kama vipi wajiite tu Uhuru and TBC company. Hebu cheki gazeti la Uhuru wakiandika hivi....ujue na HabariLeo, Mzalendo (wikend), jamboLeo wataandika vivyo hivyo....stupid sana hawa mijaa wanatutawala hadi akili zinakuwa pumba.
Kweli inaniuma sana kwa TBC chombo ambacho kodi zangu zinaenda harafu sipati habari kama inavyotakiwa. Yaani utadhani Igunga kuna CCM peke yao mimi najua hata kama vyama vingine visipopiga kampeni ni habari pia kwa chombo cha habari. Mbona mnatutia hasira wananchi kwa kutumia kodi zetu kinyume na inavyotakiwa? mpaka wafanyakazi wanaonekana wakiwa inferior wakati wakitoa habari maana nao wanalazimishwa tu. Mnachochea ghasia na mtakuja kujibu haya mambo mwisho ukifika. Kwa wenye uwezo endeleeni kurecord whatever is happening maana najua kila mtu atakuja kuulizwa na kumalizia maisha yake jela. Hizi promosheni mnazopeana kindugu na kirafiki zitakuja kuwasababishia kumalizia maisha yenu vibaya.
Kamamnavyoendelea kufanya vurugu. Hivi kutorusha kampeni za magwanda ndiyo kukaribisha vurugu? Kama vyama viko igunga na wananchi huko wanahudhuria mikutano, sisi tulio nje ya Igunga inatuhusu nini? Unamisha nani?