kazi ya tbc ni kupindisha habari au umesahau chagonja alivyo nukuliwa juu ya mauaji ya mwangosi?( eti kuna kitu kizito kilitoka upande wa pili) hii ndo tbc bwana
T=Tanzania B=Brodicasting C=Corporation yaani kwa maana nyingine ni Shirika la Utangazaji Tanzania TBC. Lakini siku hizi limebatizwa ati na kuitwa Shirika la utangazaji CCM!!! Na hii imekuja ati baada ya Tido Mhando kusepeshwa. Teh!
Umeyataka mwenyewe, :target:..achana hilo tv. Hata hivyo, kutazama Bunge ni muhimu....sijui ni kwanini ITV hawaonyeshi...na Startv sijui walikwenda wapi.....? Halafu, ile Mlimani Tv nayo sijui ilitupwa.
Uwago wa ccm ndo utawapeleka kuzimu kwani wanafikiri watanzania wa sasa ni wale wa enzi za Mwalimu kwisha habari Yao kwani tayari wameshachimba kaburi ni muda tu wa sala tunasubiri tuwapumzishe!