M mtabechama Member Joined Aug 29, 2015 Posts 61 Reaction score 13 Oct 19, 2015 #1 Kudadadeki zao...hata wakitoroka wakamatwe wafilisiwe kwa kukwepa kodi..
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,429 Reaction score 108,577 Oct 19, 2015 #2 FaizaFoxy said: Wamefunguwa kampuni zingine kwa hiyo hawana haja ya kubaki na Home Shopping, ni business strategy tu. Ni uongo kuwa wamekimbia uchaguzi, wapo tena wapo sana tu. Click to expand... Hivi ukiona waarabu huwa unanyevuliwa?
FaizaFoxy said: Wamefunguwa kampuni zingine kwa hiyo hawana haja ya kubaki na Home Shopping, ni business strategy tu. Ni uongo kuwa wamekimbia uchaguzi, wapo tena wapo sana tu. Click to expand... Hivi ukiona waarabu huwa unanyevuliwa?
dolevaby JF-Expert Member Joined Aug 25, 2013 Posts 12,955 Reaction score 9,527 Oct 19, 2015 #3 Crocodiletooth said: SEREKALI YOYOTE ITAKAYOINGIA MADARAKANI NI LAZIMA IIFIKISHE HII TIMU YA KIFISADI MAHAKAMANI NA ITAKAPOBIDI WAFILISIWE POPOTE PALE WALIPO NA WATAKAPOKIMBILIA iiii Click to expand... Labda ikiingia Serikali ya UKAWA lkn sio hao CCM unajua kwanini wanatamba watakavyo...!!!
Crocodiletooth said: SEREKALI YOYOTE ITAKAYOINGIA MADARAKANI NI LAZIMA IIFIKISHE HII TIMU YA KIFISADI MAHAKAMANI NA ITAKAPOBIDI WAFILISIWE POPOTE PALE WALIPO NA WATAKAPOKIMBILIA iiii Click to expand... Labda ikiingia Serikali ya UKAWA lkn sio hao CCM unajua kwanini wanatamba watakavyo...!!!