Nimeona tangazo la ajira za tazara zikiwemo za huko zambia, ila nilitaka kupiga simu niwaulize baadhi ya mambo ili nijue kama naweza kuaply hasa zile za vituo vya kazi zilizo zambia lakini sina namna ya kupata namba zao msaada pls

Mkuu unapokuja humu jaribu kuja na full details ili wakuu wengine waweze kukusaidia; Taarifa haijakamilika hapo, Hainyeshi kazi gani, Unaombaje? Vitu gani vinahitajika n.k
Tupia Tangazo hapa usaidiwe kwa usahihi na ubora kabisa.