ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,803
- 60,649
Khaaaa mbona fupi sanaHio video sio ya kukosa kuitazama wakina mama wamefurahi na me nimeipenda mitikasi Yao sichoki kui repeat..kwa nyuma naona banc ABC kwenye bango sa sijui walikuwa kitchen party au kwenye uzinduzi wa vicoba sielewi.kama anayejua ilikuwa event gani aniambie wapi nitapata clip yake ndefu.View attachment 1922443