Dawa za LIFE SELI zinatengenezwa Kinondoni kwa Manyanya. Nimejaribu dawa zake. Kuku wangu kila nikiwapa wanapata matege na kupofuka macho. Najiuliza hivi wizara ya mifugo iko wapi! Hawa waganga wa jadi sasa wamehamia kwenye mifugo. Serikali tusaidie kama hizi dawa za asili kwenye kuku mmeruhusu. Mbona zinatutia hasara?