Tazama televisheni ya taifa ndugu.

Patiee

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2018
Posts
474
Reaction score
720
Fanya kutazama televisheni ya taifa, kunywa maji mengi, pumzika.

Kwakweli TBC haya ndo matumizi bora ya pesa ya mlipa kodi[emoji23][emoji23]
 
Kila siku namuotaga huyu! Toto toto,pisi pisi halafu inaonyesha mtamu kashinda utamu wenyewe.. kweli kuna watu wanafaidi.. huyu alinifanya nianze kuangalia tbc Wala sitanii..πŸ˜…
 
hata waweke pisi kali na namba yake ya cm siangalii tibisi mimi
 
Utakuta hapo vigogo na mashuwa washafanya yao
Usiende kichwa kichwa utapewa kesi ya kichwa[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
kuna siku nlimwona mlimani city huyu manzi, wakawaida sanaaa.
nb: naona tbc mnaleta zile swaga za mgombea kiti cha urais wa ccm za kumnadi mgombea ubunge wa tmk
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Kwa staili hiyo hata akiamua kuacha kAzi tbc watamuonhezea mkwanja,maana ndo sura ya mauzo pekee anaewapaisha kwa Wana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…