Kwa wakat wake alikomesha kwei kwei but in his absence mmmmhhhWimbo huu ni mzuri lakini hauna uhalisia,nikweli Nyerere alikomesha utumwa wa nchi?
Mi naona utumwa wa nchi yetu bado upo na umeshamiri maradufu
Kaa chini utafakari mkuuWimbo huu ni mzuri lakini hauna uhalisia,nikweli Nyerere alikomesha utumwa wa nchi?
Mi naona utumwa wa nchi yetu bado upo na umeshamiri maradufu
Biashara ya utumwa ilikomeshwa na Waingereza na wamissionary wao Sio NyerereKwa wakat wake alikomesha kwei kwei but in his absence mmmmhhh
Yaaap kwani mkomeshaji si alikua nyerere au! Sasa now yupo?Wimbo huu ni mzuri lakini hauna uhalisia,nikweli Nyerere alikomesha utumwa wa nchi?
Mi naona utumwa wa nchi yetu bado upo na umeshamiri maradufu