Tazama ligi kubwa duniani kwa gharama kidogo

poppah

JF-Expert Member
Dec 19, 2014
630
547
- Jipatie Canal+ HD decoder uweze kuburudika katika msimu huu wa ligi mbalimbali kwa sh 185,000 (ikijumuisha ufundi+ kifurushi cha kuanzia)/dekoda pekee yake ni 150,000

- Utaweza kuona ligi za Uingereza (EPL), Ufaransa (League 1), Laliga, UEFA, uropa na zinginezo.

-Mashindano mbalimbali ya tennis (Wimbledon, ATP Masters 1000), mpira wa kikapu (NBA), rugby, mashindano ya magari (Formula 1), mieleka (WWE) nk.

- Yote haya utayaona kwa channel za Canal 1, 2, 3,4 na 5 zote zikiwa HD

- Malipo ya kifurushi cha Canal ni 44,000 tu kila mwezi.

NB.
- Matangazo ya mpira na live events zingine ni kwa lugha ya kifaransa.


Simu: 0764453848
 
Bei yako hapo juu (190,000/=) inajumuisha na dish?

Malipo hayo ya mwezi ni kwa kifurushi kipi?

Unaweza lipia malipo ya mwaka mzima?
Tupo K/koo, piga simu nikuelekeze vizuri
 
Faidi uhondo wa UEFA Jumanne na Jumatano kwa 45,000 tu
 
Jipatie king'amuzi cha Canal kwa 175,000 tu kikiwa na offer ya mwezi ushuhudie uhondo wa UEFA.
 
Lipia 45,000 tu kwa mwezi; UEFA, EPL, Laliga, Europa, Serie A nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…