georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,120
- 1,882
Atakuwa mwenyeji wa mkoa huu: Uru kishimundu au Sambi sako mwenyeweTatizo cjui ni nn kwa huyu binti,kipindi tunafanya mapenzi yy huwa anafanya shughuli zake 2 mfano,unaweza kuta anarusha nyimbo,anasoma sms,n.k.sasa sijui hana hisia za mapenz au haridhiki na mm??
Naomba nijue umri wako, uzoefu wa kukandamiza, na yeye aseme kama we ndo wangapi kumkandamiza, na je hiyo hali ilikuwa na kwa wengine pia?
It may be she has Psychological problems, sexual dysfunction au wewe ni MVULANA na si MWANAUME.
ukitaka kujua tofauti ya MVULANA na MWANAUME kiutendaji, mtafute LIZZY au nakuomba Lizzy uje umpe somo huyu somo yangu!
haiwezekani, may be hauko vzr
una miaka mingapi kijana?
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha...................sijawahi kusikia wala kuona ....hii mpya, unamlazimisha au mgonjwa? pia nina wasiwasi kama wewe ni mtundu kwenye majambozi.........
mbona kabla hujamfikia msichana kuna meseji nyingi usoni mwake za kukuonyesha yupo tayari, aibu au unyonge, au unamlazimisha.........................
itakuwa 6
Sasa ndugu yangu kisa gani mpaka unataka ujue tatizo wakati halipo????
Tatizo cjui ni nn kwa
huyu binti,kipindi tunafanya mapenzi yy huwa anafanya shughuli zake 2
mfano,unaweza kuta anarusha nyimbo,anasoma sms,n.k.sasa sijui hana hisia
za mapenz au haridhiki na mm??
Duuuuuu hii kama si utani, hii ilitokea mara ya mwisho mwaka 1972 huko ethiopia!
27,mkuu
tatizo ni sijui nini
Anakutumia ujumbe kwamba hana hisia kwako na performance yako ni zero.