Kila kukicha dunia inalalamika ,ulaya inalalamika,marekani inalalamika ,.
Hii Iran inanini? tatizo kubwa hasa inayoisumbua dunia kuhusu Iran ni nini mpaka unatafutwa muungano wa kijeshi kuikabili Iran,inaonekana vikwazo vyote ilivyowekewa na bwana mkubwa havijaweza kufikia malengo? View attachment 1215236
Kila kukicha dunia inalalamika ,ulaya inalalamika,marekani inalalamika ,.
Hii Iran inanini? tatizo kubwa hasa inayoisumbua dunia kuhusu Iran ni nini mpaka unatafutwa muungano wa kijeshi kuikabili Iran,inaonekana vikwazo vyote ilivyowekewa na bwana mkubwa havijaweza kufikia
http://www.globalissues.org/video/725/martin-khor-debt-in-the-developing-world-part-one#TheVideo
- Labda ukitizama hako video utapata majibu
Tatizo la kwanza ni Mafuta la pili ni Mafuta, la tatu ni Mafuta. Mengine siyo issue maana Erdogan, Qatar naye anawasaidia Wapalestina. Uislam hata Saudia, UAE nao ni WaislamTatizo ni Uislamu wake, misimamo yake kutetea wanyonge hasa wapalestina dhidi ya waisraeli na pia mafuta yake.
Wao Waislam Ila WANAFIQ Ila WAAJEMI Wamesimamia UISLAM Kikweli Kweli Ndio MaanaTatizo la kwanza ni Mafuta la pili ni Mafuta, la tatu ni Mafuta. Mengine siyo issue maana Erdogan, Qatar naye anawasaidia Wapalestina. Uislam hata Saudia, UAE nao ni Waislam
Tatizo la kwanza ni Mafuta la pili ni Mafuta, la tatu ni Mafuta. Mengine siyo issue maana Erdogan, Qatar naye anawasaidia Wapalestina. Uislam hata Saudia, UAE nao ni Waislam
U S A has no permanent enemy and no permanent friend
just permanent interests