Eeee.. hiyo inafahamika ati! nyie si ni wakubwa?..
Ama baada ya SALAMU na tiririka hivi
--Sio kila anaelia lia wakati wa kuachwa na mpenzi wake analilia penzi, hapana, Kinacho liza sana ni Huge and massive investment tunaoufanya kwa wapenzi wetu as if we are land lord,
-Shoppi'n za maana,
-Outing za kila leo
-Simu za kutwa mara 3 kama dozi ya dawa na za usiku kucha, na blah! blah! nyingi 2,
Sasa Siku akikupiga STOP!
Ule msemo wa kiengereza "No one belongs to any body" ndio unao sihi hapa, and there will be no return, hata ahasante unaweza usiambulie
--Si maanishi usimpende au usimjali mpenzi wako, hapana wewe tekeleza vyote hivyo kwa moyo 1, lakin uwe unatathmini kama mapenzi yetu yana miaka mi 3 saivi tumefikia wapi? wapi tunaenda? na baada ya miaka mi 3 ijayo tutakuwa wapi?, vyenginevyo utakuwa unwatunza watu ambao hawa stahili tunzo,
Trurst me ukitaka kujua capital ina matter sana ukishamjua anaeramba Sukari yako 2, kitu cha mwanzo utataka ujue amekuzidi uwezo gani, vyengine kama mapenzi n