Tatizo lambegu za kiume kujongea bila mpangilio

DJ LWELU

New Member
Mar 7, 2019
4
3
Habari za majukumu wanaJf Dokta
Mim nipo kwa ndoa kwa miaka 2 lakni sijampa mke wangu mimba Ila nilpoenda hospital ya rufaa nikapma mbegu majbu yalitoka hivi aslimia53 zinajongea hovyohovyo na 7% ndo zinajongea vizur na 40% ziko non-motile .nn nifanye wadau
 
Pole mkuu,
Tumia unga wa mlonge unasaidia kuongeza wingi wa mbegu mkuu,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…