Wazee kweny harakat za kutafta maisha nilishawahi kuishi sehemu tupo na wanawake pamoja ila haturuhusiwi kuwa na mahusiano kabisa ya kimapenzi Sheria zilikuwa kali mno na hakuna ruhusa ya kutoka hata mazingira yale.
Baada ya miez 8 kupita liliibuka tatzo la wanawake kutetemeka miguu, lilianza kwa wachache na baadae likawa tatizo la wadada wengi sana na walikuwa wanatetemeka miguu tu kiasi kwamba hata kutembea hawawezi.
Iman kubwa iliyojitokeza ni kuwa ile Hali imewapata kwasababu ya kutokufanya mapenzi muda mrefu, je ni kweli wanawake wasipofanya mapenzi muda mrefu wanaweza kupata tatizo hili?
Ngoja kwanza niwahi siti halafu nisome comenti tu kwanza.Wazee kweny harakat za kutafta maisha nilishawahi kuishi sehemu tupo na wanawake pamoja ila haturuhusiwi kuwa na mahusiano kabisa ya kimapenzi Sheria zilikuwa kali mno na hakuna ruhusa ya kutoka hata mazingira yale.
Baada ya miez 8 kupita liliibuka tatzo la wanawake kutetemeka miguu, lilianza kwa wachache na baadae likawa tatizo la wadada wengi sana na walikuwa wanatetemeka miguu tu kiasi kwamba hata kutembea hawawezi.
Iman kubwa iliyojitokeza ni kuwa ile Hali imewapata kwasababu ya kutokufanya mapenzi muda mrefu, je ni kweli wanawake wasipofanya mapenzi muda mrefu wanaweza kupata tatizo hili?
Wazee kweny harakat za kutafta maisha nilishawahi kuishi sehemu tupo na wanawake pamoja ila haturuhusiwi kuwa na mahusiano kabisa ya kimapenzi Sheria zilikuwa kali mno na hakuna ruhusa ya kutoka hata mazingira yale.
Baada ya miez 8 kupita liliibuka tatzo la wanawake kutetemeka miguu, lilianza kwa wachache na baadae likawa tatizo la wadada wengi sana na walikuwa wanatetemeka miguu tu kiasi kwamba hata kutembea hawawezi.
Iman kubwa iliyojitokeza ni kuwa ile Hali imewapata kwasababu ya kutokufanya mapenzi muda mrefu, je ni kweli wanawake wasipofanya mapenzi muda mrefu wanaweza kupata tatizo hili?
Mpishi alitakiwa kudondoshea mafuta ya taa kidogo kwenye chakula kukata genyeNi kweli kipindi nasoma shule ya kijeshi jitegemee jkt ilo tatizo lilitokea pale Kuna sheria kinoma hakuna mwingiliano wa wanafunz wa kike na wa kiume labda class that.Mademu kama 50 wanashake tu miguu.Ila walikuwa wanasema kutofanya mapenzi inawezekana Kuna sababu
Ndo najiuliza hapa atatetemekaje mbele yangu!Mkuu nafikiri sio kila msichana anapitia haya kwani wengine hawajawahi kukusa huduma ya dudus
Na huduma unampa kwa wakati hahahaNdo najiuliza hapa atatetemekaje mbele yangu!
Hapo sasaNa huduma unampa kwa wakati hahaha
Kama si mpiga selfie sana atashake kinyume na hapo si rahisi kushakekuna singo maza kwa maelezo yake ana miezi 8+ bila kutafunnwa mbususu yake, inabidi nimuulize kama hua anatetemeka miguu.