Tatizo la uume kusinyaa na kuwa kama wa mtoto mdogo

Ukiwa na hela unafanya mapenzi kuenjoy na kupata watoto tu, wala swala la kumridhisha mwanamke haliwezi kukuumiza kichwa. Dogo tafute hela usiumize kichwa japo ile kupakosa kule chini daaah unakosa vingi mdogo wangu kuna utam wake.
 
Picha MUHIMU
 
Hii njia nimejaribu mara kadhaa lakini pia imeshindikana.Na kama unahisi hofu ndio tatizo kwangu wala hata maana sijawai kuwa na hofu kwenye hilo suala na huwa natumia Kila njia ila nashindwa
 
Hamna dawa ya kurefusha ataishia kutapeliwa alafu hii hali ya kuhisi mashine ndogo uwa inawakumba vijana wengi wanapo balehe kwa kukosa kujiamini ila muhimu azingatie mazoezi hasa jogging na kenjel (sijui kama nimepatia spelling)
Zipo ni vile tu ataamini kwani uume wake wenyewe uko na nchi ngapi
 
Hii njia nimejaribu mara kadhaa lakini pia imeshindikana.Na kama unahisi hofu ndio tatizo kwangu wala hata maana sijawai kuwa na hofu kwenye hilo suala na huwa natumia Kila njia ila nashindwa
Daah, basi me nikushauri tulia tu achana na mahusiano utazid kujiaibisha na kukosa confidence unless atokee mwanamke alokuzoea sana umzoee pia na akuchukulie kama ulivyo unaeza rejea katika hali ya kawaida.
Tafuta Tiba Waganga wanajua usipoteze muda.
 
Umri mdogo badala uwaze unatoka vipi wewe unawaza Chini tu?

Unadhani Diamondi anagekuwa anawaza Mikunyenge angefika hapo alipo?
 
Inaonekana una mchango bwana mdogo, dalili ya huo mchango ni:-
1. Tumbo la chini kuunguruma mara tu unapotaka kufanya tendo.

2. Korodani kurudi ndani au kuonekana zikijongea.
3. Kuhisi maumivu chini ya kitovu.

Nb: Kama una dalili kama hizo tafuta dawa ya mchango. Hospital hawana tiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…