Kama kichwa cha habari kinavyooneka,kuna ndugu yangu ana tatizo la pneumonia limemsumbua muda mrefu na hajapata relief au kupona japo ametumia dawa kadhaa km amoxilin,amoxiclave(spelling huenda si sahihi)kwa yeyote mwenyewe kuujua huu ugonjwa na matibabu yake anisaidie.