huskryderz
Member
- Dec 23, 2011
- 27
- 27
Wenda aina ya vyakula vinakusababishia hii hali ,badilisha kabisa menu yako ya chakula pia kunya maji mengi kupunguza gesi tumboniUshauri mdogo ni kwamba epuka vinywaji vyenye gesi (carbonated drinks) na aina ya vyakula vyenye kutoa gesi wakati wa mmeng'enyo(mfano maharagwe)...
Itakuwa Amoeba hiyo..... kapime na dawa nzuri ni Norfloxacin Tinidazole 5/7...... wengine wanaita ConazHabari wadau, nina tatizo la tumbo linatoa mngurumo ni kwa muda mrefu sana. Nimekwenda hospital nyingi na kuonana na madaktari wengi pamoja na kutumia madawa mbalimbali lakini sikuweza kupata suluhisho la tatizo langu. Kila daktari alikuwa na mtazamo wake wapo waliohisi kuwa nina tatizo la vidonda vya tumbo na nikapatiwa dawa lakini hazikuweza kunisaidia kabisa na wapo walio nipatia dawa nitumie lakini nazo hazija nisaidia.
Tatizo la tumbo langu ni mngurumo tu wala hakuna maumivu na mngurumo unaosikika ni mkubwa sana kiasi kwamba hunifanya kujisikia vibaya.
Mwenye msaada au kama kuna anayefahamu tiba fasaha la tatizo la tumbo kunguruma naomba anisaidie.
Nawashukuru sana.
Mi pia ilo tatzo linansumbuaHabari wadau, nina tatizo la tumbo linatoa mngurumo ni kwa muda mrefu sana. Nimekwenda hospital nyingi na kuonana na madaktari wengi pamoja na kutumia madawa mbalimbali lakini sikuweza kupata suluhisho la tatizo langu. Kila daktari alikuwa na mtazamo wake wapo waliohisi kuwa nina tatizo la vidonda vya tumbo na nikapatiwa dawa lakini hazikuweza kunisaidia kabisa na wapo walio nipatia dawa nitumie lakini nazo hazija nisaidia.
Tatizo la tumbo langu ni mngurumo tu wala hakuna maumivu na mngurumo unaosikika ni mkubwa sana kiasi kwamba hunifanya kujisikia vibaya.
Mwenye msaada au kama kuna anayefahamu tiba fasaha la tatizo la tumbo kunguruma naomba anisaidie.
Nawashukuru sana.