Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 2,935
- 5,019
KWANI ANACHEZA YEYE?Mgunda ndio wa kuipeleka Simba kimataifa!!??
kwa uzoefu upi?
Huu wa kucheza na timu loco
Mna utani sana nyie sasa hv mmeshachanganyikiwa
Ndio viburi vyenu viko hapoKWANI ANACHEZA YEYE?
Hata Benchinka alikuwa hachezi yeyeKWANI ANACHEZA YEYE?
Acheni dharau...Mgunda ndio wa kuipeleka Simba kimataifa!!??
kwa uzoefu upi?
Huu wa kucheza na timu loco
Mna utani sana nyie sasa hv mmeshachanganyikiwa
Sio kocha kwa standard zipi?Juma Mgunda siyo kocha yule. Ni mhamasishaji.
Alishaipeleka mbona kwa kuwafunga Nyasa Big Bullets na De Agosto ?Mgunda ndio wa kuipeleka Simba kimataifa!!??
kwa uzoefu upi?
Huu wa kucheza na timu loco
Mna utani sana nyie sasa hv mmeshachanganyikiwa
Mgunda ni mwajiliwa wa Simba Sports Club kule Simba Queen.Kilichofanyika ni mwajiri kumtoa Stoo kumpeleka reception.Kwa hiyo Wala Simba haijampuuza na kumdharau.Hivi karibuni kumekuwa na tetesi kuwa simba wako mbioni kukamilisha usajili wa kocha mmoja kutoka Afrika ya kusini. Kama tetesi hizi ni za kweli basi simba watakakuwa wanakosea, huu ni mtazamo wangu binafsi.
Tatizo la Simba lipo kwenye uongozi, wengi wao ni wapigaji ambao wanaangalia zaidi maslahi yao badala ya timu,
Wanasajili wachezaji wa kigeni wenye viwango vya kati ambao hawana tofauti na wazawa,
Kwa upande wa kocha mi nadhani wangempa nafasi kocha mzawa Juma Mgunda ambaye amefanya vizuri kwa muda mfupi alioakabidhiwa jukumu la kukaimu nafasi ya kocha mkuu.
Mgunda amekuwa akikaimu nafasi ya kocha mkuu kwa kipindi kifupi, japo anafanya vizuri lakini Simba wakimpata kocha mwingine wanamtema, hii ni dharau kwa makocha wetu wazawa, asikubali tena kutumika kama bazoka.
Nawasilisha.
Acheni zenu hizo. Jipangeni mpira hauna huruma. Hujui hujui tuAcheni dharau...
Hakuna shabiki wa Simba anayejielewa atamdharau Mgunda...
Tulianza kushinda home and away mechi za kimataifa chini ya Mgunda leo unasema hawezi?
Tulieni.Acheni zenu hizo. Jipangeni mpira hauna huruma. Hujui hujui tu
Mkuu huyu kawekwa na MO. Mwenye uwezo wa kumuondoa kwenye hiyo nafasi ni Mo wala hakuna mtu mwingine. Mo akiamua dakika sifuri tu anamtoa kwenye hiyo nafasi. Swali la msingi hapa je ni kwanini Mo kamvumilia mpaka leo hii licha ya madudu yote aliyofanya kwa takribani kiaka mitatu aliyoachiwa na Mo aisimamie Simba?Du! FUTA try again ataki kujihuzuru
Mo energy naye tapeliMkuu huyu kawekwa na MO. Mwenye uwezo wa kumuondoa kwenye hiyo nafasi ni Mo wala hakuna mtu mwingine. Mo akiamua dakika sifuri tu anamtoa kwenye hiyo nafasi. Swali la msingi hapa je ni kwanini Mo kamvumilia mpaka leo hii licha ya madudu yote aliyofanya kwa takribani kiaka mitatu aliyoachiwa na Mo aisimamie Simba?